• Sunday 11th Oct
  • Wonders without End
Welcome to Winners Chapel International - Tanzania.
Our mission is to Liberate mankind from all oppressions of the devil through the preaching of the Word of Faith.

Latest Teachings

Testimonies

Job restoration after 5 years
In 2009 my husband was fired from his work place and since then he has been unemployed. We was believing God for his new job during all this time, and this year's 21 days prayer and fasting it was one…
Rose Nguli
Uponyaji wa Kiungu
Majuma kama matatu yaliyopita mtoto wa dada yangu ambaye ni binti wa umri wa miaka mitatu alipata homa ya ghafla iliyompelekea kupoteza fahamu. Walipo mkimbiza hospitali daktari alisema mtoto ndo alikuwa…
J. Kagine
Ukichaa Wapona
Siku ya kwanza ya mfungo huu wa siku 21 adui alijiinua kwenye familia yetu. Nilipigiwa simu kutoka kijijini kwamba kaka yetu alikuwa anapiga kelele kwamba kuna mtu anamfukuza na panga na kukumbilia msituni…
Grace Friday
Restoration of a Machine
I had a machine for producing sunflower oil which I hired to my neighbor by trust without any written document. This person then forged ownership documents and tried to sell the machine without my knowledge.…
Herieth Luta
God has made me a year younger
Heaven on earth! I would like thank for adding me one more year and making me a year younger, I celebrated my birthday on the 31st January 2015. I give all the glory to GOD.
James Basil
Divine Protection
Jumapili jioni nikiwa natoka kumtumikia Mungu. ilitokea gari upande wangu wa kulia (airport) ikaingia barabara kuu ghafla na kwa speed ikaovertake pia gari ilokuwa mbele yangu! kidogo ikafunga break, na…
Joyce Ngwilimi
Divine Proctection
l was assigned to UN Mission in Liberia in April 2014 and whilst there l joined Winners Ministry in Monrovia and just after 3 months the Ebola outbreak was declared and l was assigned to lead the construction…
Emmanuel A.
Urejesho wa upendo ndani ya familia
Shaloom kwa miaka sita kulikuwa na mafarakano na mizozo iliyo kithiri ndani ya familia yetu ambayo ilipelekea baba na mama yangu hata kufikia kutengana vyumba vya kulala na kushindwa hata kuongea ili hali…
Japhet K.
ACADEMIC EXCELLENCY
I am a student at TUMAINI UNIVERSITY DAR ES SALAAM, and when I was about to take my semester exams I asked the Lord to distinguish me and make me enjoy Heaven on Earth reality according to this year's…
Kennedy Mwasanga
Uponyaji wa Kiungu
Nilikua nasumbuliwa sana na tumbo. Nilipoenda hospital nikaambiwa nina matatizo kwenye kizazi, kuna vipimo niliambiwa nikapime. Maumivu yalikua makali sana. Jumapili kwenye ibada ya ushirika mtakatifu…
N. A. Mwamafupa
Healed from tumor
During whole night prayers on 6th,March, 2015.There was direct connection from Canaan land. During the prayers by man of God Bishop Oyedepo,Tumor which was below my stomach disappeared. I thank God for…
Godwin Mwiru
A child started walking after 2 years of infirmity
In December 2012 God blessed our family with a miracle baby girl who was born prematurely at 8 months gestation which according to medical practice such children they hardly survive, but I hold onto God…
Martha Jerome